Home » Uncategories » BREAKING NEWS......WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR
BREAKING NEWS......WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR
Muonekano wa wanachama hao wa CUF waliopigwa risasi.
Wanachama wawili wa CUF wamepigwa risasi na watu waliofunika nyuso zao mchana wa leo wakati wa kuandikisha kupiga kura Makunduchi, Zanzibar, wamelazwa Hospitali ya Arahma.
0 Response to "BREAKING NEWS......WANACHAMA WAWILI WA CUF WAPIGWA RISASI ZANZIBAR"
Post a Comment