Jumapili
July 12 2015 Historia nyingine imeandikwa kwenye Siasa Tanzania, kutoka
Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Dodoma Tanzania tumewafahamu wale
ambao wameteuliwa
Jana na leo imekuwa siku ambayo tumezipokea story nyingi sana toka Dodoma, ninayo mengine leo mtu wangu… Ukumbi mpya wa Dodoma Convertion Centre umewakutanisha Wajumbe wa CCM na yametolewa majibu ya kura kwamba Dk. John Pombe Magufuli ndio Mgombea Urais wa CCM na Samia Hassan Suluhu amekuwa Mgombea Mwenza.
Kama umeona LIVE ya kwenye TV kilichokuwa
kinaendelea ndani ya Ukumbi huo, nimefanikiwa kuzunguka na nje ya
Ukumbi huo kuona kila kilichokuwa kinaendelea, ninazo pichaz hapa mtu
wangu.

















0 Response to "Hali ilivyokuwa nje ya Ukumbi MPYA wa CCM Dodoma.."
Post a Comment