Stori: Dustan ShekideleNImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia.


0 Response to "MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI"
Post a Comment