Kumekuwa na story mfululizo toka ndani ya Kikao cha Bunge, Dodoma
kwamuda wa siku tatu mfululizo zimetokea vurugu, Kikao kimeahirishwa kwa
siku mbili mfululizo.
Alhamisi July 02 2015 Mbunge John Mnyika aliomba mwongozo kuomba Bunge
lisiendelee kwa vile ishu ya kujadili Miswada mitatu kwa siku moja
ilikuwa inakiuka Kanuni za Bunge, ukatokea mvutano na baadae Spika
AnneMakinda akaahirisha Bunge.
Ijumaa July 03 2015 hali ikawa hivyohivyo tena, wakati Waziri George
Simbachawene anasoma Muswada, ikatokea mvutano mwingine, zikaanzishwa
kelele Bunge likaahirisha tena.. Kikao cha Jioni Spika Anne Makinda
akarudi na list ya majina ya Wabunge ambao wamesimamishwa Bungeni
kutokanana maamuzi ya Kamati ya Maadili ya Bunge.
Leo July 04 2015 Kikao kimeanza tena saa tatu asubuhi, Mbunge Ezekiel
Wenjeakaomba Spika atoe ufafanuzi wa kwanini Mbunge Silinde hayuko
kwenye list ya waliotajwa kusimamishwa lakini Askari wa Bunge wamemzuia
asiingie kwenye Kikao?
Majibu ya Spika hayakuwaridhisha baadhi ya Wabunge, zikaanza tena
kelele… Spikaakataja list ya Wabunge wengine ambao wanasimamishwa
kuhudhuria Vikao vya Bunge kwasiku tano kila mmoja.
Ezekiel Wenje
Mussa Kombo
Masoud Abdallah Salim
Rebecca Ngodo
Sabrina Sungura
Khatib Said Haji
Dr. Anthony Mbassa
Maulidah Anna Valerian Komu
Kulikoyela Kahigi
Cecilia Pareso
Joyce Mukya
Mariam Msabaha
Grace Kiwelu
Israel Natse
Mustapha Akonaay
Konchesta Rwamlaza
Suleiman Bungura
Rashid Ali Abdallah
Ali Hamad
Riziki Juma
Rukia Kassim Ahmed
Azza Hamad
Khatibu Said Haji
Kombo Khamis Kombo
Ali Khamis Seif
Haroub Mohammed Shamisi
Kuruthum Jumanne
Mchuchuli
Amina Mwidau
Mkiwa Kimwanga
Salum Baruhani
Marry Stellah Malaki
Rashid Ally Omary
Mwanamrisho Abama
Lucy Owenya



0 Response to "BREAKING NEWS... WABUNGE WENGINE 36 WA TANZANIA NAO WAZUIWA KUINGIA BUNGENI KWA SIKU TANO KUANZIA LEO JULAI 4,2015"
Post a Comment