Mwandishi wetuMIKOSI mikosi! Hakuna neno lingine sahihi zaidi ya hilo kufuatia watoto wawili wa aliyewahi kuwa waziri wa ardhi nyumba na maendeleo ya makazi katika serikali ya awamu ya tatu, Tatu Ntimizi, Mussa na nduguye, Said Ntimizi kwa nyakati zinazokaribiana kukumbwa na madai ya uhalifu yaliyowasababishia kufikishwa polisi na mahakamani


0 Response to "SASA YAMEKUWA MAKUBWAA......FAMILIA YA WAZIRI MKOSI TUPU"
Post a Comment